Deprecated: Return type of AdvancedAds\Abstracts\Data::offsetGet($offset) should either be compatible with ArrayAccess::offsetGet(mixed $offset): mixed, or the #[\ReturnTypeWillChange] attribute should be used to temporarily suppress the notice in /home/ikrstymy/public_html/wp-content/plugins/advanced-ads/includes/abstracts/abstract-data.php on line 431
Maana ya neno akademia na English translation - Mhariri

Maana ya neno akademia na English translation

Maana ya neno akademia

Matamshi: /akademia/

(Nomino katika ngeli ya [i-zi])

Maana: kituo cha taaluma fulani au elimu maalumu.

Mfano: Rafiki yangu ana ndoto ya kusomea katika akademia ya muziki.

Akademia Katika Kiingereza (English translation)

Akademia katika Kiingereza ni: Academy.

Related Posts