Maana ya neno akali
Matamshi: /akali/
Akali 1
(Nomino katika ngeli ya [i-zi])
Maana: ukosefu au upungufu wa kitu au hali fulani. Visawe vyake ni: uhaba, uadimu, uchache.
Akali 2
(Kielezi)
Maana: kwa uchache; kwa ufupi.
Akali katika Kiingereza (English translation)
Akali katika Kiingereza inategemea na maana unayokusudia:
- Akali (ukosefu au upungufu wa kitu au hali fulani.) ni: Scarcity, lack or shortage of something.
- Akali (kwa uchache; kwa ufupi.) ni: At least.