Maana ya neno akaunti na English translation

Maana ya neno akaunti

Matamshi: /akaunti/

(Nomino katika ngeli ya [i-zi])

Maana:

1. hesabu ya mapato na matumizi.

2. mapatano kati ya kuhifadhi na kutoa ya mteja na benki pesa zake.

3. kitambulisho cha kibinafsi katika mtandao wa intaneti.

Akaunti katika Kiingereza (English translation)

Akaunti katika Kiingereza inategemea na maana unayokusudia:

  • Akaunti (hesabu ya mapato na matumizi.) ni: Account of income and expenses.
  • Akaunti (mapatano kati ya kuhifadhi na kutoa ya mteja na benki pesa zake.) ni: Bank account.
  • Akaunti (kitambulisho cha kibinafsi katika mtandao wa intaneti.) ni: Internet/ online account.
Related Posts