Maana ya neno akhasi
Matamshi: /axasi/
(Kivmishi)
Maana: pia ahasi, -liye mbaya kuliko.
Mfano: Yeye ni mbaya lakini kaka yake ni akhasi/ahasi.
Akhasi Katika Kiingereza (English translation)
Akhasi katika Kiingereza ni: Worse than.
Haya ni maneno ya siku ya kuzaliwa unayoweza kumtumia mkewe kama SMS: SMS za siku…
Hapa kuna ujumbe wa kumtakia rafiki yako siku njema ya kuzaliwa: Meseji za happy birthday…
Zodiac ni Nini? Zodiac ni sehemu ya anga inayozunguka Dunia. Ina upana wa takriban digrii…
Kama mpenzi wako hayuko karibu nawe na umemkosa sana hapa tuna baadhi ya meseji nzuri…