Maana ya neno akhera
Matamshi: /axera/
(Nomino katika ngeli ya [i-)]
Maana: pia, ahera,kule ambako inaaminika binadamu wataishi baada ya kufufuliwa.
Akhera Katika Kiingereza (English translation)
Akhera katika Kiingereza ni: Afterlife.
Ndani ya uhusiano, kuna mambo kadhaa ambayo yanastahili kuzingatiwa na kupewa kipaumbele. Uhusiano sio tu…
Unaweza kuhisi hamu na tamaa kubwa kwa mtu unayempenda. Unaweza kumfikiria kila mara na kutamani…
Kupendwa ni kitu kizuri sana. Kuwa na mwanamke anayekupenda ni ajabu. Aina bora ya uhusiano…
Maana ya neno amu Matamshi: /amu/ (Nomino katika ngeli ya [a-wa]) Maana: ndugu wa baba.…