Maana ya neno akisami

Maana ya neno akisami

Matamshi: /akisami/

Nomino katika ngeli ya [i-zi])

Maana: tarakimu isiyo moja kamili kama vile robo, nusu au thuluthi; sehemu ya tarakimu. Visawe vyake ni kipande, aria.

Akisami Katika Kiingereza (English translation)

Akisami katika Kiingereza ni: fraction.

Related Posts