Maana ya neno akraba
Matamshi: /akraba/
(Nomino katika ngeli ya [a-wa])
Maana: jamaa, ndugu au ahali.
Akraba Katika Kiingereza (English translation)
Akraba katika Kiingereza ni: relative, sibling or kin.
Ndani ya uhusiano, kuna mambo kadhaa ambayo yanastahili kuzingatiwa na kupewa kipaumbele. Uhusiano sio tu…
Unaweza kuhisi hamu na tamaa kubwa kwa mtu unayempenda. Unaweza kumfikiria kila mara na kutamani…
Kupendwa ni kitu kizuri sana. Kuwa na mwanamke anayekupenda ni ajabu. Aina bora ya uhusiano…
Maana ya neno amu Matamshi: /amu/ (Nomino katika ngeli ya [a-wa]) Maana: ndugu wa baba.…