Maana ya neno akronimi
Matamshi: /akronimi/
(Nomino katika ngeli [i-zi])
Maana: mbinu katika isimu hasa tawi la mofolojia ya kuunda maneno kwa kuchukua herufi za kwanza za maneno mengine na kuunda neno fupi.
Akronimi Katika Kiingereza (English translation)
Akronimi katika Kiingereza ni: acronym.