Maana ya neno akselereta na English translation

Maana ya neno akselereta

Matamshi: /akselereta/

(Nomino katika ngeli ya [i-zi])

Maana: pia ekselereta, kifaa au kikanyagio kinachochapua mafuta na kuongeza kasi au mwendo wa gari au pikipiki; kichapuzi cha kasi.

Akselereta Katika Kiingereza (English translation)

Akselereta katika Kiingereza ni: accelerator.

Related Posts