Maana ya neno alaa!
Matamshi: /ala:/
(Kihisishi)
Maana: tamko la mshangao. Kisawe chake ni: kumbe!
Mfano: Alaa! Sasa nimegundua ustadi wako wa kufanya hisabati hizi kwa njia iliyo rahisi kweli.
Alaa! Katika Kiingereza (English translation)
Alaa katika Kiingereza ni: exclamation of suprise like: Eep! Golly! Ha! Huh! Whoa! Wow! Yikes!