Maana ya neno alaa! na English translation

Posted by:

|

On:

|

Maana ya neno alaa!

Matamshi: /ala:/

(Kihisishi)

Maana: tamko la mshangao. Kisawe chake ni: kumbe!

Mfano: Alaa! Sasa nimegundua ustadi wako wa kufanya hisabati hizi kwa njia iliyo rahisi kweli.

Alaa! Katika Kiingereza (English translation)

Alaa katika Kiingereza ni: exclamation of suprise like: Eep! Golly! Ha! Huh! Whoa! Wow! Yikes!