Maana ya neno alamatobo na English translation

Maana ya neno alamatobo

Matamshi: /alamatɔbɔ/

(Nomino katika ngeli ya [i-zi])

Maana: alama maalumu zinazotumiwa kubainisha au kuorodhesha hoja fulani muhimu kwa msomaji na mwandishi.

Alamatobo Katika Kiingereza (English translation)

Alamatobo katika Kiingereza ni: bullet points.

Related Posts