Maana ya neno alamu
Matamshi: /alamu/
Alamu 1
(Nomino katika ngeli ya [i-zi])
Maana: ishara inayomtahadhrisha au kumuonya mtu ajikinge na hatari fulani.
Alamu 2
(Nomino katika ngeli ya [i-zi])
Maana: kifaa kinachotoa sauti ya kutahadharisha watu.
Alamu Katika Kiingereza (English translation)
Alamu katika Kiingereza inategemea na maana unayokusudia :
- Alamu (ishara inayomtahadhrisha mtu) ni: warning sign.
- Alamu (kifaa kinachotoa sauti ya kutahadharisha watu) ni: Alarm.