Maana ya neno alasiri na English translation

Maana ya neno alasiri

Matamshi: /alasiri/

Alasiri 1

(Nomino katika ngeli ya [i-zi])

Maana: wakati kati ya saa tisa na saa kumi na moja jioni.

Alasiri 2

(Nomino katika ngeli ya [i-zi])

Maana: ibada ya Kiislamu inayofanywa kuanzia saa tisa hadi kabla ya magharibi.

Alasiri Katika Kiingereza (English translation)

Alasiri katika Kiingereza inategemea na maana unayokusudia:

  • Alasiri (wakati kati ya saa tisa na saa kumi na moja jioni) ni: afternoon.
  • Alasiri (ibada ya Kiislamu inayofanywa kuanzia saa tisa hadi kabla ya magharibi) ni: The Muslim afternoon prayer, which is called the Asr prayer.
Related Posts