Maana ya neno alawansi
Matamshi: /alawansi/
(Nomino katika ngeli ya [i-zi])
Maana: pia alawensi, malipo yaliyoidhinishwa kisheria wanayopewa wafanyikazi ambayo sio sehemu ya mshahara kwa sababu ya shughuli wanazozifanya.
Alawansi Katika Kiingereza (English translation)
Alawansi katika Kiingereza ni: allowance.