Maana ya neno albamu na English translation

Maana ya neno albamu

Matamshi: /albamu/

(Nomino katika ngeli ya [i-zi])

Maana:

1. buku la kuhifadhia au kuwekea picha hasa za kumbukumbu.

2. sahani kubwa ya santuri au mkusanyiko wa nyimbo katika sidii au hata katika mtandao wa intaneti.

Mfano: Mama amenipa zawadi ya albamu yenye nyimbo pendwa.

Albamu Katika Kiingereza (English translation)

Albamu katika Kiingereza ni: album.

Related Posts