Maana ya neno aleluya! na English translation

Posted by:

|

On:

|

Maana ya neno aleluya!

Matamshi:  /alɛluja/

Aleluya 1

(Kihisishi)

Maana: pia haleluya!

1 tamko la kidini la Wakristo linalofichua hisia ya furaha kuu na shangwe.

2. tamko linalotumiwa na wahubiri au waumini katika dini ya Ukristo kutaka makini ya wasikilizaji kanisani.

Aleluya! 2

(Nomino katika ngeli ya [i-])

 Maana: pia haleluya! Mwitiko wa waumini wa Kikristo kusadiki kisemwacho na mhubiri.

Aleluya Katika Kiingereza (English translation)

Aleluya katika Kiingereza ni: hallelujah.