Maana ya neno alfajiri na English translation

Maana ya neno alfajiri

Matamshi: /alfajiri/

Alfajiri 1

(Nomino katika ngeli ya [i-zi])

Maana: mapambazuko ya asubuhi sana pale jua linapochomoza mashariki.

Alfajiri 2

(Nomino katika ngeli ya [i-zi])

Maana: ibada ya Waislamu inayosaliwa jua likipambazuka au asubuhi sana.

Alfajiri Katika Kiingereza (English translation)

 Alfajiri katika Kiingereza inategemea na maana unayokusudia:

  • Alfajiri (mapambazuko ya asubuhi ) ni: dawn.
  • Alfajiri (ibada ya Waislamu inayosaliwa asubuhi sana) ni: Dawn prayer by Muslims, performed from dawn until sunrise, it is called Fajr prayer.
Related Posts