Maana ya neno ali
Matamshi: /ali/
Ali 1
(Nomino katika ngeli ya [a-wa])
Maana: wajukuu wa mtu. Kisawe chake ni watoto.
Ali 2
Maana: adhimu; tukufu.
Ali 3
(Kivumishi)
Maana: -enye uzuri wa kuvutia na kupendeza.
Ali Katika Kiingereza (English translation)
Ali katika Kiingereza inategemea na maana unayokusudia:
- Ali (wajukuu wa mtu) ni: grandchild.
- Ali (adhimu, tukufu) ni: noble, glorious.
- Ali (enye uzuri wa kuvutia na kupendeza) ni: beautiful.