Maana ya neno alifu
Matamshi: /alifu/
Alifu 1
(Nomino katika ngeli ya [i-i])
Maana: herufi ya mwanzo katika alfabeti ya Kiarabu.
Alifu 2
(Kitenzi elekezi)
Maana: andika, buni au tunga kitabu.
Alifu Katika Kiingereza (English translation)
Alifu katika Kiingereza inategemea na maana unayokusudia:
- Alifu (herufi ya mwanzo katika alfabeti ya Kiarabu) ni: alif.
- Alifu (andika, buni au tunga kitabu) ni: write a book.