Maana ya neno aliki na English translation

Maana ya neno aliki

Matamshi: /aliki/

(Kitenzi elekezi)

Maana: angika au ning’iniza kitu kama vile kutoka darini. Kisawe chake ni tundika.

Mnyambuliko wake ni: → alikia, alikiana, alikika, alikisha, alikiwa.

Aliki Katika Kiingereza (English translation)

Aliki katika Kiingereza ni: hang.

Related Posts