Maana ya neno alisha na English translation

Maana ya neno alisha

Matamshi: /alisha/

Alisha 1

(Kitenzi elekezi)

Maana: toa sauti kwa mlio mkubwa au kishindo.

Mnyambuliko wake ni → alishia, alishiana, alishika, alishiwa.

Alisha 2

Maana: toboa au tia ufa.

Mnyambuliko wake ni: → alishia, alishiana, alishika, alishiwa.

Alisha Katika Kiingereza (English translation)

Alisha katika Kiingereza inategemea na maana unayokusudia:

  • Alisha (toa sauti kwa mlio mkubwa au kishindo) ni: shout.
  • Alisha (toboa au tia ufa) ni: pierce , puncture or crack.
Related Posts