Maana ya neno alkoholi na English translation

Maana ya neno alkoholi

Matamshi: /alkǝhǝli/

(Nomino katika ngeli ya [i-i])

Maana:

1. kiowevu kilicho angavu kinachosababisha mtu kulewa baada ya kunywa.

2. mchachuko wa sukari na vitu vyenye chembechembe za sukari ambao hutumika kama dawa.

Alkoholi Katika Kiingereza (English translation)

Alkoholi katika Kiingereza ni: alcohol.

Related Posts