Maana ya neno alofoni na English translation

Maana ya neno alofoni

Matamshi: /alɔfɔni/

(Nomino katika ngeli ya [i-zi])

Maana: kipandesauti kingine cha fonimu husika ambacho kikigeuzwa na fonimu nyingine maana ya neno husika ya lugha hiyo hubadilika.

Alofoni Katika Kiingereza (English translation)

Alofoni katika Kiingereza ni: allophone.

Related Posts