Deprecated: Return type of AdvancedAds\Abstracts\Data::offsetGet($offset) should either be compatible with ArrayAccess::offsetGet(mixed $offset): mixed, or the #[\ReturnTypeWillChange] attribute should be used to temporarily suppress the notice in /home/ikrstymy/public_html/wp-content/plugins/advanced-ads/includes/abstracts/abstract-data.php on line 431
Maana ya neno aloi na English translation - Mhariri

Maana ya neno aloi na English translation

Maana ya neno aloi

Matamshi: /alɔi/

(Nomino katika ngeli [i-zi])

Maana: mseto wa madini ya metali unaotokana na mchanganyiko wa metali mbili tofauti au zaidi.

Aloi Katika Kiingereza (English translation)

Aloi katika Kiingereza ni: alloy.

Related Posts