Maana ya neno alomofu na English translation

Maana ya neno alomofu

Matamshi: /alɔmɔfu/

(Nomino katika ngeli ya [i-zi])

Maana: istilahi katika isimu hasa fonolojia na mofolojia kurejelea umbo au maumbo tofauti la mofimu moja.

Alomofu Katika Kiingereza (English translation)

Alomofu katika Kiingereza ni: allomorph.

Related Posts