Maana ya neno altare na English translation

Maana ya neno altare

Matamshi: /altarɛ/

(Nomino katika ngeli ya [i-zi])

Maana: pia altari,

1. madhabahu mahsusi yanayotumiwa kutolea sadaka ya misa kanisani.

2. meza ya kuadhimishia sherehe ya kupokea mkate na divai kama kielelezo cha kumbukumbu kabla Yesu Kristo kusulubiwa.

Altare Katika Kiingereza (English translation)

Altare katika Kiingereza ni: Altar.

Related Posts