Deprecated: Return type of AdvancedAds\Abstracts\Data::offsetGet($offset) should either be compatible with ArrayAccess::offsetGet(mixed $offset): mixed, or the #[\ReturnTypeWillChange] attribute should be used to temporarily suppress the notice in /home/ikrstymy/public_html/wp-content/plugins/advanced-ads/includes/abstracts/abstract-data.php on line 431
Maana ya neno amaa na English translation - Mhariri

Maana ya neno amaa na English translation

Maana ya neno amaa

Matamshi: /ama:/

(Kitenzi si elekezi)

Maana: nyauka au kauka kwa nguo iliyotota kwa maji baada kufuliwa.

Mnyambuliko wa amaa ni: → amaika, amalia, amalisha.

Amaa Katika Kiingereza (English translation)

Amaa katika Kiingereza ni: drying of clothes.

Related Posts