Maana ya neno amali na English translation

Maana ya neno amali

Matamshi: /amali/

Amali 1

(Nomino katika ngeli ya [i-zi])

Maana:

1. hirizi, talasimu, kago.

2. namna ya sihiri au uchawi. Kisawe chake ni ulozi.

Amali 2

(Nomino katika ngeli ya [i-zi])

Maana: jumla ya matendo ya mtu au mazoea.

Amali Katika Kiingereza (English translation)

Amali katika Kiingereza inategemea na maana unayokusudia:

  • Amali (hirizi, talasimu, kago) ni: charm, amulet, talisman.
  • Amali (namna ya sihiri au uchawi. Kisawe chake ni ulozi) ni: witchcraft.
  • Amali (jumla ya matendo ya mtu au mazoea) ni: habit, a person’s actions.
Related Posts