Maana ya neno amana na English translation

Maana ya neno amana

Matamshi: /amana/

Amana 1

(Nomino katika ngeli ya [i-zi])

Maana: Kitu anachokabidhiwa mtu ahifadhi hadi mwenyewe anapokihitaji.

Amana 2 

(Nomino katika ngeli ya [i-zi])

Maana: kitu kilicho na thamani kubwa.

Amana Katika Kiingereza (English translation)

Amana katika Kiingereza inategemea na maana unayokusudia:

  • Amana (Kitu anachokabidhiwa mtu ahifadhi hadi mwenyewe anapokihitaji) ni: trust, deposit, security.
  • Amana (kitu kilicho na thamani kubwa) ni: a valuable thing.
Related Posts