Maana ya neno amara
Matamshi: /amara/
Amara 1
(Nomino katika ngeli ya [i-zi])
Maana: ufanyaji wa kazi kwa haraka.
Amara 2
(Nomino katika ngeli ya [i-zi])
Maana: auni au msaada anaomfanyia mtu mwingine.
Amara Katika Kiingereza (English translation)
Amara katika Kiingereza inategemea na maana unayokusudia:
- Amara (ufanyaji wa kazi kwa haraka) ni: working with haste or quickly.
- Amara (auni au msaada anaomfanyia mtu mwingine) ni: to support or help.