Maana ya neno ambia na English translation

Maana ya neno ambia

Matamshi: /ambia/

(Kitenzi elekezi)

Maana: dokeza au pasha mtu habari fulani.

Kisawe chake ni: fahamisha; julisha.

Mfano: Mwalimu alimwambia Juma kuwa alikuwa amefuzu vizuri katika mtihani wake.

Mnyambuliko wake ni: → ambiana, ambika, ambilia, ambiwa, ambiza.

Ambia Katika Kiingereza (English translation)

Ambia katika Kiingereza ni: To tell or inform someone of something.

Related Posts