Maana ya neno ambilika na English translation

Posted by:

|

On:

|

Maana ya neno ambilika

Matamshi: /ambilika/

Ambilika 1

(Kivumishi)

Maana: sifa ya mtu unayeweza kumshawishi akubali maoni yako au ya wenzako; mwenye uwezo wa kupokea maoni ya wengine.

 Ambilika 2

(Kitenzi si elekezi)

Maana: weza kupokea au kukubali maoni au rai za watu wengine.

Ambilika Katika Kiingereza (English translation)

Ambilika katika Kiingereza inategemea na maana unayokusudia:

  • Ambilika (sifa ya mtu unayeweza kumshawishi akubali maoni yako au ya wenzako) ni: The quality of someone who can be persuaded to accept your or others’ opinions – open-mindness.
  • Ambilika (weza kupokea au kukubali maoni au rai za watu wengine) ni: To be able to receive or accept the opinions or views of others – receptive.