Maana ya neno ambukiza
Matamshi: /ambukiza/
(Kitenzi elekezi)
Maana:
1. sambaza au eneza ugonjwa au maradhi.
2. badili, shawishi au athiri tabia ya mtu.
Mnyambuliko wake ni: → ambukizana, ambukizia, ambukizika, ambukizwa.
Ambukiza Katika Kiingereza (English translation)
Ambukiza katika Kiingereza inategemea na maana unayokusudia:
- Ambukiza (sambaza au eneza ugonjwa au maradhi) ni: Infect, transmit, spread.
- Ambukiza (badili, shawishi au athiri tabia ya mtu) ni: change, or influence a person’s behavior.