Maana ya neno ambukiza na English translation

Maana ya neno ambukiza

Matamshi: /ambukiza/

(Kitenzi elekezi)

Maana:

1. sambaza au eneza ugonjwa au maradhi.

2. badili, shawishi au athiri tabia ya mtu.

Mnyambuliko wake ni: → ambukizana, ambukizia, ambukizika, ambukizwa.

Ambukiza Katika Kiingereza (English translation)

Ambukiza katika Kiingereza inategemea na maana unayokusudia:

  • Ambukiza (sambaza au eneza ugonjwa au maradhi) ni: Infect, transmit, spread.
  • Ambukiza (badili, shawishi au athiri tabia ya mtu) ni: change, or influence a person’s behavior.
Related Posts