Maana ya neno ambulia
Matamshi: /ambulia/
(Kitenzi elekezi)
Maana: ishia kufanikiwa au kupata kitu ulichokuwa unakivizia.
Msemo: Ambulia patupu: Kutopata chochote.
Ambulia Katika Kiingereza (English translation)
Ambulia katika Kiingereza ni: Succeed, get what you were looking for.