Maana ya neno amiba na English translation

Posted by:

|

On:

|

Maana ya neno amiba

Matamshi/amiba/

(Nomino katika ngeli ya [a-wa])

Maana: vidudu vidogo vilivyo hai vyenye seli moja na umbo lao hubadilika wakati wote.

Amiba Katika Kiingereza (English translation)

Amiba katika Kiingereza ni: Amoeba.