Maana ya neno amidi na English translation

Posted by:

|

On:

|

Maana ya neno amidi

Matamshi: /amidi/

(Kitenzi elekezi)

Maana:

1. fikia maamuzi au kata shauri.

2. tegemea au tarajia kupata mafanikio fulani.

Mnyambuliko wake ni: → amidia, amidiana, amidika, amidisha, amidiwa.

Amidi Katika Kiingereza (English translation)

Amidi katika Kiingereza inategemea na maana unayokusudia:

  • Amidi (fikia maamuzi au kata shauri) ni: decide.
  • Amidi (tegemea au tarajia kupata mafanikio fulani) ni: expect, rely or hope for something.