Maana ya neno amikto
Matamshi :/amiktɔ/
(Nomino katika ngeli ya [i-zi])
Maana: kitambaa cheupe cha katani kinachotandwa mabegani na padri wa kanisa Katoliki kabla ya kuvaa nguo nyingine rasmi za misa.
Amikto Katika Kiingereza (English translation)
Amikto katika Kiingereza ni: amice.