Maana ya neno amilisha na English translation

Posted by:

|

On:

|

Maana ya neno amilisha

Matamshi: /amilisha/

(Kitenzi si elekezi)

Maana: hatua inayotoa kibali cha kuanza kwa mchakato wa matumizi kwenye tarakilishi au simu.

Mnyambuliko wake ni: → amilishia, amilishika, amilisha, amilishiwa.

Amilisha Katika Kiingereza (English translation)

 Amilisha katika Kiingereza ni: launch, open, initiate or start.