Posted by:
Brennon Nakisha
|
On:
Matamshi: /amin/
(Kihisishi)
Maana: pia amina! Kiitikio cha kuitika maombi au ibada kama vile kanisani au msikitini kumaanisha iwe hivyo.
Amin katika Kiingereza ni: amen.