Posted by:
Brennon Nakisha
|
On:
Matamshi: /aminifu/
(Kivumishi)
Maana: sifa ya mtu asiyesema uwongo au kudanganya; yenye kusadikika au kubalika.
Aminifu katika Kiingereza ni: honest, trustworthy.