Maana ya neno aminifu
Matamshi: /aminifu/
(Kivumishi)
Maana: sifa ya mtu asiyesema uwongo au kudanganya; yenye kusadikika au kubalika.
Aminifu Katika Kiingereza (English translation)
Aminifu katika Kiingereza ni: honest, trustworthy.
Maana ya neno amu Matamshi: /amu/ (Nomino katika ngeli ya [a-wa]) Maana: ndugu wa baba.…
Maana ya neno amsha Matamshi: /amsha/ (Kitenzi elekezi) Maana: 1. fanya mtu ashtuke na kufumbua…
Maana ya neno amriwa Matamshi: /amriwa/ (Kitenzi si elekezi) 1. shurutishwa 2. tendewa uamuzi. Amriwa…
Maana ya neno amrisho Matamshi: /amrifɔ̃/ Wingi wa amrisho ni maamrisho. (Nomino katika ngeli ya…