Maana ya neno amirika na English translation

Posted by:

|

On:

|

Maana ya neno amirika

Matamshi: /amirika/

(Kitenzi si elekezi)

Maana: imarika au pata uthabiti au utulivu.

Mnyambuliko wake ni → amirikia, amirikika, amirikisha.

Amirika Katika Kiingereza (English translation)

Amirika katika Kiingereza ni: strengthen or gain stability.