Maana ya neno amisa na English translation

Posted by:

|

On:

|

Maana ya neno amisa

Matamshi: /amisa/

(Kitenzi elekezi)

Maana: tawisha au fuga mwari au msichana pindi avunjapo ungo au kubaleghe.

Mnyambuliko wake ni: → amisia, amisiana, amisika, amisana, amisiwa.

Amisa Katika Kiingereza (English translation)

Amisa katika Kiingereza ni: To give away or marry a girl who has reached puberty.