Maana ya neno ampea
Matamshi: /ampɛa/
(Nomino katika ngeli ya [i-zi])
Maana: pia ampia, kipimo cha mawimbi au mkondo wa umeme.
Ampea Katika Kiingereza (English translation)
Ampea katika Kiingereza ni: ampere or amp.
Maana ya neno amu Matamshi: /amu/ (Nomino katika ngeli ya [a-wa]) Maana: ndugu wa baba.…
Maana ya neno amsha Matamshi: /amsha/ (Kitenzi elekezi) Maana: 1. fanya mtu ashtuke na kufumbua…
Maana ya neno amriwa Matamshi: /amriwa/ (Kitenzi si elekezi) 1. shurutishwa 2. tendewa uamuzi. Amriwa…
Maana ya neno amrisho Matamshi: /amrifɔ̃/ Wingi wa amrisho ni maamrisho. (Nomino katika ngeli ya…