Maana ya neno amri na English translation

Posted by:

|

On:

|

Maana ya neno amri

Matamshi: /amri/

(Nomino katika ngeli ya [i-zi])

Maana:

1. agizo au tangazo la kuamuru kutekelezwa kwa sheria au jambo fulani. Kisawe chake ni shurutisho.

2. nguvu au uwezo wa mshika hatamu za mamlaka.

Amri Katika Kiingereza  (English translation)

Amri katika Kiingereza inategemea na maana unayokusudia:

  • Amri (agizo au tangazo la kuamuru kutekelezwa kwa sheria au jambo fulani) ni: Order, command, decree.
  • Amri (nguvu au uwezo wa mshika hatamu za mamlaka) ni: Authority.