Maana ya neno amrisha na English translation

Posted by:

|

On:

|

Maana ya neno amrisha

Matamshi: /amrisha/

(Kitenzi elekezi)

Maana: shurutisha amuru au agiza sheria fulani ifuatwe au kutekelezwa.

Mnyambuliko wake ni: → amrishana, amrishia amrishika, amrishwa.

Amrisha Katika Kiingereza (English translation)

Amrisha katika Kiingereza ni:  To order, command, decree, or enforce.