Maana ya neno amrisho na English translation

Posted by:

|

On:

|

Maana ya neno amrisho

Matamshi: /amrifɔ̃/

Wingi wa amrisho ni maamrisho.

(Nomino katika ngeli ya [li-ya])

Maana: agizo, shurutisho, hukumu ya amri anayolazimishwa mtu husika kuitekeleza.

Amrisho Katika Kiingereza (English translation)

Amrisho katika Kiingereza ni: Order, command, decree, or directive.