Nomino za dhahania ni maneno yanayotaja majina ya watu na vitu ambavyo ni vya kufikirika tu. Hapa chini ni mifano ya nomino dhahania.
Mifano ya nomino dhahania
- Urembo
- Wema
- Upendo
- Uhai
- Ukora
- Umbeya
- Utawala
- Hekima
- Maarifa
- Busara
- Ujinga
- Ubaya
- Uchoyo
- Wazimu
- Ukeketaji
- Uzumbukuku
- Ucheshi
- Upuzi
- Wivu
- Chuki
- Furaha
- Huzuni
- Njaa
- Hasira
- Utu
- Uvivu
- Uzuri
- Ukarimu
- Ujanja
- Tabasamu
- Ujeuri
- Ulevi
- Wizi
- Upumbavu
- Ukali
- Utanashati
- Utajiri
- Uchambuzi
- Ujasiri
- Uzoefu
- Upole
- Uchoyo
- Uonevu
- Werevu
- Amani
- Usafi
- Uoga
- Ulafi
- Hofu
- Kiu
- Umaskini
- Wasiwasi
- Utamu
- Upepo
- Ugonjwa
- Uchawi
- Ubinfansi
- Ukahaba
- Uzembe
- Mapenzi
- Kiburi
- Utundu
- Ukorofi
- Huruma
- Uchumi
- Usingizi
- Ushuru
- Muziki
- Ukweli
- Uovu
- Ushenzi
- Hasira
- Unyenyekevu
- Kimya
- Uchungu
- Ugomvi
- Ukiritimba
- Uchovu
- Usherati
- Uwezo
- Maringo
- Maoni
- Maumivu
- Ushirikiano
- Harufu
- Uadilifu
- Baridi
- Fadhili
- Uaminifu
- Umoja
- Ushauri
- Mapigano
- Ukulima
- Urafiki
- Ukatili
- Unafiki
- Malaika
- Zimwi
- Jini
- Shetani
One response to “Mifano 100 ya nomino dhahania”